Michezo

Matokeo JKT Tanzania vs Yanga 10 February 2025

Matokeo JKT Tanzania vs Yanga 10 February 2025

Matokeo JKT Tanzania vs Yanga 10 February 2025 LIVE JKT Tanzania FC vs Young Africans 10 February 2025. 01′ JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC (LIVE From Meja General Isamuhyo, Dar Es Salaam) 02′ JKT Tanzania 0 - 0 Yanga SC (LIVE From Meja General Isamuhyo, Dar Es Salaam) 03′ JKT Tanzania 0 - […]

Filed in Michezo by on February 10, 2025 0 Comments
Kikosi Cha Yanga SC vs JKT Tanzania Leo 10 February 2025

Kikosi Cha Yanga SC vs JKT Tanzania Leo 10 February 2025

Kikosi Cha Yanga SC vs JKT Tanzania Leo 10 February 2025. 1:Djigui Diarra 2:Israel Mwenda 3:Chadrack Boka 4:Dickson Job (C) 5:Ibrahim Abdallah 6:Khalid Aucho 7:Clement Mzize 8:Mudathir Yahya 9:Prince Dube 10:Clatous Chama 11:Pacome Zouzoua

Filed in Michezo by on February 10, 2025 0 Comments
WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

WAFUNGAJI Bora Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025 Hii ni orodha ya Wachezaji wanaoongoza Kwa mabao Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 20242/2025. Orodha Kamili ya Wachezaji wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (Tanzania Women’s Champions League 2024/2025). Stumai Abdallah - JKT Queens = 18 Jentrix Shikangwa - Simba Queens = 17. Neema Paul […]

Filed in Michezo by on February 10, 2025 0 Comments
Viingilio JKT Tanzania vs Yanga SC 10 February 2025

Viingilio JKT Tanzania vs Yanga SC 10 February 2025

Viingilio JKT Tanzania vs Yanga SC 10 February 2025 Hivi hapa Viingilio vya mchezo wa raundi ya 18 kati ya JKT Tanzania FC dhidi ya Young Africans. Mchezo huo utapigwa tarehe 10 February 2025 kwenye Uwanja wa Meja General Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar Es Salaam Kuanzia saa 10:00 jioni.

Filed in Michezo by on February 9, 2025 0 Comments
Ratiba ya mzunguko wa 18 NBC Premier League 2024/2025

Ratiba ya mzunguko wa 18 NBC Premier League 2024/2025

Ratiba ya mzunguko wa 18 NBC Premier League 2024/2025 Hii hapa ratiba ya michezo inayofuata ya Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2024/2025 Michezo inayofuata imeorodheshwa hapa chini!

Filed in Michezo by on February 9, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Leo Jumapili 09 February 2025

Ratiba ya Mechi za Leo Jumapili 09 February 2025

Ratiba ya Mechi za Leo Jumapili 09 February 2025 Tanzania - NBC Premier League 16:00 Pamba Jiji vs Azam FC 19:00 Namungo FC vs Dodoma Jiji Tanzania - NBC Championship 16:00 Polisi Tanzania s Kiluvya FC 16:00 Biashara United vs TMA FC 16:00 Mbeya City vs Mtibwa Sugar Tanzania - First League 16:00 Mapinduzi vs […]

Filed in Michezo by on February 9, 2025 0 Comments
VINARA wa Assist NBC Premier League 2024/2025

VINARA wa Assist NBC Premier League 2024/2025

VINARA wa Assist NBC Premier League 2024/2025 Orodha ya Wachezaji Wanaoongoza Kwa Assist Ligi Kuu ya NBC 2024/2025, Katika Makala hii tumekuandalia orodha ya Wachezaji wanaoongoza kwa kutoa pasi zinazozaa mabao (Assists). Orodha Kamili ya Wachezaji wanaoongoza Kwa kutoa pasi za mabao (assist) 2024/2025 tazama hapa chini; Feisal Salum - Azam FC = 10 Stephen […]

Filed in Michezo by on February 8, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Leo Jumamosi 08 February 2025

Ratiba ya Mechi za Leo Jumamosi 08 February 2025

Ratiba ya Mechi za Leo Jumamosi 08 February 2025 Zanzibar - PBZ Premier League 16:00 KVZ vs Mwenge 16:00 New City vs M/Makumbi City. Tanzania - First League 16:00 Moro Kids FC vs Tunduru Korosho 16:00 Hausang FC vs Nyumbu FC 16:00 African Lyon vs Dar City 16:00 Alliance FC vs Tanesco FC 16:00 Gunners […]

Filed in Michezo by on February 8, 2025 0 Comments
Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2024/2025

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2024/2025

Msimamo wa Ligi Kuu ya Zanzibar 2024/2025, Msimamo PBZ Premier League 2024/2025. Ligi Kuu ya Zanzibar ambayo inajulikana kama Ligi Kuu ya PBZ, ni Ligi ya daraja la juu la Chama cha Soka Zanzibar. Ilianzishwa kwa mara ya kwanza mnamo 1926 na ikawa rasmi mnamo 1981.

Filed in Michezo by on February 8, 2025 0 Comments
MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025

MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania 2024/2025 Tanzania Women’s Premier League Standing 2024/2025, Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) 2024/25. Msimamo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) hadi Leo tarehe 07 February 2025.

Filed in Michezo by on February 8, 2025 0 Comments

Ajira

Nafasi za Kazi Alistair Group, Ajira Mpya

Nafasi za Kazi Alistair Group, Ajira Mpya

Nafasi za Kazi Alistair Group, Ajira Mpya Alistair Group is one of East and Southern Africa’s fastest-growing service companies, providing a variety of self-delivered logistics solutions across several geographies, aimed with the vision to Make Africa Work Better! With core competencies in road freight, warehousing, commodity trading and operational hire of material handling equipment, the […]

Filed in Ajira by on February 14, 2025 0 Comments
Nafasi za Kazi Serengeti Breweries Limited

Nafasi za Kazi Serengeti Breweries Limited

Nafasi za Kazi Serengeti Breweries Limited Serengeti Breweries Limited (SBL) ni kampuni inayoongoza kwa bia na vinywaji vikali nchini Tanzania. Kwa zaidi ya miongo miwili, imejenga sifa ya ubora na imekua na jukumu kubwa kama mwekezaji, mtengenezaji wa ndani na mwajiri. Kutokana na kumiliki kiwanda kidogo cha kutengeneza bia kilichopo Dar es Salaam, SBL sasa […]

Filed in Ajira by on February 14, 2025 0 Comments
Nafasi za Kazi Watu Credit, Ajira Mpya Watu Credit

Nafasi za Kazi Watu Credit, Ajira Mpya Watu Credit

Nafasi za Kazi Watu Credit, Ajira Mpya Watu Credit WATU ni kampuni inayozingatia wateja ambayo inaamini kila mtu anastahili fursa ya kuwa mjasiriamali na kufikia malengo yao makubwa maishani. Kama Kampuni ya Ufadhili wa Mali inayokua kwa kasi zaidi barani Afrika, tunaona mustakabali mzuri wa bara hili na tunataka kuwa sehemu ya kuifanya kuwa kweli. […]

Filed in Ajira by on February 14, 2025 0 Comments
NAFASI Za Kazi GSM Group Of Companies Ajira Mpya

NAFASI Za Kazi GSM Group Of Companies Ajira Mpya

NAFASI Za Kazi GSM Group Of Companies Ajira Mpya Position: Position: Electrical Engineer Key Job Purpose The role is responsible for the design, implementation, and maintenance of electrical systems within various properties and projects. The role will ensure that all electrical works are carried out to the highest standards, ensuring safety, efficiency, and compliance with regulatory requirements. […]

Filed in Ajira by on February 14, 2025 7 Comments
Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto, Ajira Mpya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto, Ajira Mpya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Nafasi za Kazi Jeshi la Zimamoto, Ajira Mpya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa mamlaka aliyopewa Kwa mujibu wa kifungu cha 14(4) cha Sheria ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Sura ya 427, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 5(1) ya kanuni za Utumishi za Jeshi la Zimamoto […]

Filed in Ajira by on February 13, 2025 0 Comments
Nafasi 2316 za Walimu Daraja la III Somo la Biashara

Nafasi 2316 za Walimu Daraja la III Somo la Biashara

Nafasi 2316 za Walimu Daraja la III Somo la Biashara MWALIMU DARAJA LA III CSOMO LA BIASHARA (BUSINESS STUDIES) NAFASI 2316 (LINARUDIWA) MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa; Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia; Kufundisha, kufanya Tathmini na […]

Filed in Ajira by on February 13, 2025 0 Comments
Ajira Mpya 2611 za Walimu wa Amali na Biashara

Ajira Mpya 2611 za Walimu wa Amali na Biashara

Ajira Mpya 2611 za Walimu wa Amali na Biashara Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. BOFYA […]

Filed in Ajira by on February 13, 2025 0 Comments
Nafasi 13 za Walimu Daraja la III B, Somo la Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma

Nafasi 13 za Walimu Daraja la III B, Somo la Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma

Nafasi 13 za Walimu Daraja la III B, Somo la Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION) NAFASI 13 (LINARUDIWA) MAJUKUMU YA KAZI Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomo na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine […]

Filed in Ajira by on February 11, 2025 0 Comments
Ajira Mpya 1595 za Walimu MDAs & LGAs

Ajira Mpya 1595 za Walimu MDAs & LGAs

Ajira Mpya 1595 za Walimu MDAs & LGAs Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu moja mia tano tisini na tano(1595) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. NAFASI 1595 ZA […]

Filed in Ajira by on February 11, 2025 0 Comments
Nafasi za Kazi Absa Bank Tanzania Limited

Nafasi za Kazi Absa Bank Tanzania Limited

Nafasi za Kazi Absa Bank Tanzania Limited Position: Commercial Relationship Manager Locations: Absa House - ABT Time type: Full time Time left to apply: End Date: February 13, 2025 (2 days left to apply) Job requisition id: R-15971735 Empowering Africa’s tomorrow, together…one story at a time. With over 100 years of rich history and strongly […]

Filed in Ajira by on February 11, 2025 0 Comments

Elimu

Mfano wa Barua ya Kuomba Ajira za Walimu

Mfano wa Barua ya Kuomba Ajira za Walimu

Mfano wa Barua ya Kuomba Ajira za Walimu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ametangaza nafasi mpya za Ajira za Walimu mwaka 2025. Katibu huyo amekaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo kama ilivyoainishwa katika tangazo hili. […]

Filed in Elimu, Makala by on February 10, 2025 0 Comments
Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu

Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu

Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuwekea baadhi ya maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Filed in Elimu, Makala, Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
Kozi za VETA na Gharama Zake, VETA Tanzania Courses and Fees

Kozi za VETA na Gharama Zake, VETA Tanzania Courses and Fees

Kozi za VETA na Gharama Zake, VETA Tanzania Courses and Fees Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ni Wakala wa Serikali inayojitegemea iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Sura ya 82 yenye majukumu ya kutoa, kufadhili na kuratibu elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini. Kozi za […]

Filed in Elimu by on February 10, 2025 0 Comments
FOMU Za Kujiunga na VETA 2025

FOMU Za Kujiunga na VETA 2025

FOMU Za Kujiunga na VETA 2025 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Fomu za Maelekezo ya Kujiunga Katika Vituo Vya Ufundi Stadi Mwaka 2025. FOMU ZA MAELEZO YA KUJIUNGA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI MWAKA 2025 ARUSHA VTC BAHI DVTC BUHIGWE DVTC BUSOKELO DVTC BUTIAMA DVTC CHATO DVTC CHUNYA DVTC DAKAWA VTC […]

Filed in Elimu by on February 9, 2025 1 Comment
Jinsi ya Kuomba AVN, NACTVET Award Verification Number

Jinsi ya Kuomba AVN, NACTVET Award Verification Number

Jinsi ya Kuomba AVN, NACTVET Award Verification Number Usisubiri hadi wakati wa Udahili, Unaweza kupata AVN baada tu ya matokeo yako ya Diploma kufanyiwa uhakiki. Je wajua? unaweza kuomba Namba ya Utambulisho wa Tuzo (AVN) mara tu baada ya matokeo ya Diploma kufanyiwa uhakiki, omba sasa, usisubiri mpaka kipindi cha Udahili. Hapa tumekuwekea hatua kwa […]

Filed in Elimu by on February 8, 2025 0 Comments
NACTVET Udahili wa Wanafunzi Mkupuo wa Machi 2025/2026, vyuo 126 vilivyoruhusiwa kufanya udahili

NACTVET Udahili wa Wanafunzi Mkupuo wa Machi 2025/2026, vyuo 126 vilivyoruhusiwa kufanya udahili

NACTVET Udahili wa Wanafunzi Mkupuo wa Machi 2025/2026, vyuo 126 vilivyoruhusiwa kufanya udahili Baraza linapenda kuufahamisha umma kuwa udahili wa wanafunzi katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa kozi zote utaanza tarehe 10 hadi 28 February, 2025. Udahili katika muhula huu wa Machi, 2025 utahusisha vyuo vilivyo na nafasi na uwezo wa kupokea wanafunzi wapya […]

Filed in Elimu by on February 8, 2025 0 Comments
Utaratibu wa Kujiunga na Vyuo vya ufundi stadi VETA

Utaratibu wa Kujiunga na Vyuo vya ufundi stadi VETA

Utaratibu wa Kujiunga na Vyuo vya ufundi stadi VETA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (VETA) imeweka utaratibu maalum kwaajili ya kujiunga ili kupata mafunzo katika vyuo inavyovimiliki. Utaratibu huo ni kama unavyoelezwa hapa chini: VETA hutoa mafunzo ya muda mrefu na mfupi na katika mifumo mbalimbali; Kwa mafunzo ya muda mrefu, yyuo vyote […]

Filed in Elimu by on February 5, 2025 0 Comments
RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023

RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023

RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yaliyomsukuma kutaka kufanyika mapitio ya sera baada ya kuingia madarakani. Akizungumza jijini […]

Filed in Elimu, Habari by on February 2, 2025 0 Comments
Maslahi ya Walimu Kupitiwa upya Rais Samia

Maslahi ya Walimu Kupitiwa upya Rais Samia

Maslahi ya Walimu Kupitiwa upya Rais Samia Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali itapitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini ili kuipa hadhi inayostahiki kada hiyo kama Mama wa taaluma zote Duniani. Akiongea February 01,2025 wakati akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2024 Jijini Dodoma, […]

Filed in Elimu by on February 2, 2025 0 Comments
NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025

NAFASI Za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) 2025 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa masomo yatakayoanza mwezi MACHI 2025 katika ngazi za Stashahada ya Uzamili (Postgraduate Diploma) na Shahada ya Umahiri (Mastesrs Degree). Mfumo […]

Filed in Elimu by on February 1, 2025 0 Comments

Kuitwa Usaili

Matokeo ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Kemia

Matokeo ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Kemia

Matokeo ya Usaili Wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Kemia uliofanyika tarehe 12/02/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MATOKEO CHEMISTRY IIIC

Filed in Usaili by on February 13, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Handeni District Council Afisa Mwandikishaji Jimbo la Handeni Vijijini kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Raisi, Wabunge na Madiwani NA. 1 ya Mwaka 2024 pamoja na kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura za mwaka 2024, anawatangazia waombaji wote […]

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Mlimba District Council Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Mlimba anapenda Kuwatangazia Waombaji wote wa Nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki walioorodheshwa Kwenye tangazo hili Kuwa, Usaili wa nafasi hizo utafanyika tarehe 13/02/2025 Kuanzia Saa 3:30 asubuhi Katika Ukumbi w […]

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Ifakara Town Council Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilombero kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 12 (1) cha Kanuni ya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ya mwaka 2024 anapenda kuwatangazia wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi ya muda mfupi […]

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Gairo District Council Afisa Mwandikishaji Wa Jimbo La Gairo Anawataarifu Waombaji Wa Kazi Ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa Vya Bayometriki Kuwa Usaili Umepangwa Kufanyika tarehe 11/2/2025 hadi tarehe 15/2/2025 Katika Maeneo Mbalimbali ya Halmashauri, Muda pamoja na eneo la Kufanyia Usaili ni kama Ilivyoainishwa Katika Orodha ya […]

Filed in Usaili by on February 11, 2025 0 Comments
Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu

Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu

Jinsi ya Kujisajili na Kutuma Maombi Ajira za Walimu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ametangaza nafasi mpya za Ajira za Walimu. Katibu huyo amekaribisha Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi hizo kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.NAFASI ZA […]

Filed in Usaili, Makala by on February 10, 2025 0 Comments
Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu

Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu

Maswali ya Usaili Ajira za Walimu, Ajira Mpya za Walimu Wakati wa kujiandaa na usaili kwaajili kupata kazi ya kufundisha, watahiniwa wanaweza kutarajia maswali ambayo hutathmini falsafa yao ya ufundishaji, mikakati ya usimamizi wa darasa, na uwezo wa kushirikiana na wanafunzi na wazazi. Hapa chini tumekuwekea baadhi ya maswali ya usaili pamoja na majibu yake. […]

Filed in Elimu, Makala, Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Pangani District Council Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Pangani kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya mwaka 2024 pamoja na Kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024, anawatangazia waombaji wote […]

Filed in Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC

Kuitwa Kwenye Usaili Ajira INEC 2024/2025, Walioitwa kwenye usaili INEC Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye usaili Ajira za muda Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (INEC) 2024/2025. Orodha hiyo inatoka Katika halmashauri mbalimbali nchini na imeambatanishwa hapa chini; PANGANI DC GAIRO DC IFAKARA TC MLIMBA DC HANDENI DC Endapo […]

Filed in Usaili by on February 10, 2025 0 Comments
Matokeo ya usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Historia

Matokeo ya usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Historia

Matokeo ya usaili wa Kuandika Mwalimu Daraja la IIIC Historia uliofanyika tarehe 08/02/2025 Wasailiwa wote waliochaguliwa (SELECTED) wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la usaili. Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho. MWALIMU DARAJA LA III C - HISTORIA (HISTORY)

Filed in Usaili by on February 9, 2025 0 Comments

Kuitwa Kazini

Majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Afya

Majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Afya

Majina ya Walioitwa Kazini Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Afya 12-02-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 25-05-2024 na tarehe 08-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kamavyalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 13, 2025 0 Comments
Majina ya Walioitwa Kazini TEMESA,NFRA, TGFA, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Afya

Majina ya Walioitwa Kazini TEMESA,NFRA, TGFA, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Afya

Majina ya Walioitwa Kazini TEMESA,NFRA, TGFA, Wizara ya Kilimo na Wizara ya Afya 12-02-2025 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-02-2024 na tarehe 12-01-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 13, 2025 0 Comments
MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu

MAJINA ya Walioitwa Kazini Ajira za Walimu TANGAZO: Majina ya walimu walioitwa kazini katika Utumishi wa Umma baada ya kufaulu kwenye Usaili wa Kada za Walimu wa Kawaida, Amali na Biashara yanapatikana kupitia tovuti www.ajira.go.tz Matokeo haya ni kwa wale waliofanya usaili kati ya tarehe 14 hadi tarehe 17 January 2025 kwa baadhi ya Mikoa. […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 13, 2025 2 Comments
Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

Majina ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) 13-02-2025 Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 18 Oktoba, 2024 hadi tarehe 19 Oktoba, 2024 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 13, 2025 0 Comments
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Handeni District Council Afisa Mwandikishaji Jimbo la Handeni Mjini, kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani Na. I ya Mwaka 2024 pamoja na Kanuni ya 12(1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024, anapenda kuwatangazia wale wote waliofanya […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Chalinze District Council Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Chalinze anapenda kuwatangazia kuwa, waliotajwa na Tangazo hili wamefaulu usaili wa Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki (BVR KIT OPERATOR) uliofanyika tarehe 25 January, 2025. Waliofaulu usaili wanatangaziwa kuwa Mafunzo yatafanyika tarehe 10/02/2025 na 11/02/2025 katika Shule ya Sekondari Lugoba kuanzia […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Kisarawe District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Kisarawe District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Kisarawe District Council Orodha ya Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo ya Uboreshaji wa Daftari tarehe 10-11/02/2025 Minaki Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe. Kupata Orodha hiyo tafadhali Donwload PDF hapa chini; KUONA MAJINA BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024/2025, Walioitwa Kazini INEC

Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024/2025, Walioitwa Kazini INEC

Kuitwa Kazini Ajira za INEC 2024/2025, Walioitwa Kazini INEC Haya hapa Majina ya Walioitwa Kazini Ajira za muda Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura (INEC) 2024/2025. Majina ya Walioitwa kwenye Semina au Kazini Kutoka Halmashauri Mbalimbali 2024/2025. Endapo hauoni Halmashauri yako na Ratiba inaonesha imefikiwa tunakushauri kutembelea Ofisi za Kata […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council

Kuitwa Kazini Ajira za INEC Bagamoyo District Council Afisa Mwandikishaji Jimbo la Bagamoyo anawatangazia Waliofaulu Kwenye Usaili wa Ajira ya muda Katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kuwa, Wanahitajika Kufika Kwenye Semina Katika Ukumbi Wa Shule ya Sekondari Bagamoyo Tarehe 10/02/2025 na 11/02/2025 Kuanzia Saa 1:30 asubuhi kwaajili ya Semina […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 10, 2025 0 Comments
MAJINA 331 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

MAJINA 331 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025

MAJINA 331 ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia Vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kuripoti Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga -Mkoani Tanga, siku ya Jumamosi tarehe 01 Machi, 2025 kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Kutokana wito […]

Filed in Kuitwa Kazini by on February 6, 2025 0 Comments

Habari

BEI Mpya ya Mafuta February 2025

BEI Mpya ya Mafuta February 2025

BEI Mpya ya Mafuta February 2025 BEI Mpya ya Mafuta February 2025, bei ya mafuta leo tanzania 2025,jinsi ya kuangalia bei za mafuta February 2025. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 05 Februari 2025 saa […]

Filed in Habari by on February 5, 2025 0 Comments
MAJINA 1520 ya Wafanyabiashara wanaorejeshwa Soko la Kariakoo

MAJINA 1520 ya Wafanyabiashara wanaorejeshwa Soko la Kariakoo

MAJINA 1520 ya Wafanyabiashara wanaorejeshwa Soko la Kariakoo Menejimenti ya Shirika la Masoko ya Kariakoo ipo katika hatua za mwisho za kurejea kwenye shughuli zake katika Soko kuu la Kariakoo baada ya kukamilika kwa ujenzi na Ukarabati wa soko. Ili shughuli hizo ziweze kurejea, Shirika linatangaza kwa Umma orodha ya Wafanyabiashara 1,520 ambao wamehakikiwa na […]

Filed in Habari by on February 2, 2025 0 Comments
RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023

RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023

RAIS Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 Baada ya mchakato wa muda mrefu hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023, huku akitaja mambo matatu yaliyomsukuma kutaka kufanyika mapitio ya sera baada ya kuingia madarakani. Akizungumza jijini […]

Filed in Elimu, Habari by on February 2, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya 29 January 2025

RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya 29 January 2025

RAIS Samia Afanya Uteuzi Mpya 29 January 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo: Jaji Mstaafu Beatrice Rhoda Mutungi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Rufani za […]

Filed in Habari by on January 29, 2025 0 Comments
NOTI Mpya Kuanza Kutumika February 2025

NOTI Mpya Kuanza Kutumika February 2025

NOTI Mpya Kuanza Kutumika February 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emanuel Tutuba amesema kuwa noti mpya za Tanzania zenye saini ya Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba na yeye, toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia February 01, 2025. Tutuba amesema hayo Jumatano ya January 22, 2025 jijini Dar es Salaam […]

Filed in Habari by on January 28, 2025 0 Comments
RATIBA ya TRENI January 27-28, 2025

RATIBA ya TRENI January 27-28, 2025

RATIBA ya TRENI January 27-28, 2025 Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapenda kuuarifu umma kuwa ratiba ya safari za treni kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, zitaendelea na ratiba yake kama ilivyopangwa licha ya baadhi ya barabara muhimu kufungwa kufuatia mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, unaotarajiwa kufanyika jijini Dar […]

Filed in Habari by on January 26, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali

RAIS Samia Afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali

RAIS Samia Afanya Uteuzi, Uhamisho na Mabadiliko ya Viongozi Mbalimbali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka uteuzi, uhamisho na mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo: Wakuu wa Wilaya Bw. […]

Filed in Habari by on January 24, 2025 0 Comments
This is a free demo result from the Wayback Machine Downloader. Click here to download the full version.